Surat Al-Qiyamah, aya 1

75:1

لَآ أُقۡسِمُ بِيَوۡمِ ٱلۡقِيَٰمَةِ ١

Lā uqsimu biyawmil-qiyāmah

Ninaapa kwa Siku ya Kiyama! 1

Maelezo ya chini

1 Ninaapa na natilia mkazo kiapo hichi kwa Siku ya Kiyama, na hiyo ni kweli iliyo thibiti;