أَيَحۡسَبُ ٱلۡإِنسَٰنُ أَلَّن نَّجۡمَعَ عِظَامَهُۥ ٣
Ayahsabul-insānu allan najma'a 'izāmah
Anadhani mtu kuwa Sisi hatutaikusanya mifupa yake? 3
Maelezo ya chini
3 Hivyo mtu anadhani baada ya kuwa Sisi tulimuumba naye hakuwa kitu chochote, tutakuja shindwa kuyakusanya mafupa yake yaliyooza na yakatapanyika?