وَإِذَا مَرُّواْ بِهِمۡ يَتَغَامَزُونَ ٣٠
Wa idhā marrū bihim yataghāmazūn
Na wanapo pita karibu yao wakikonyezana. 30
Maelezo ya chini
30 Na wakipita Waumini mbele yao basi wao hukonyezana kwa kuwabeza.