إِنَّ ٱلَّذِينَ أَجۡرَمُواْ كَانُواْ مِنَ ٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ يَضۡحَكُونَ ٢٩
Innal-ladhīna ajramū kānū minal-ladhīna āmanū yadhakūn
Kwa hakika wale walio kuwa wakosefu walikuwa wakiwacheka walio amini. 29
Maelezo ya chini
29 Wale walio kuwa wakibeba madhambi kuipingia Dini walikuwa wakiwacheka kuwakejeli Waumini duniani.