Surat Al-Mutaffifin, aya 31

83:31

وَإِذَا ٱنقَلَبُوٓاْ إِلَىٰٓ أَهۡلِهِمُ ٱنقَلَبُواْ فَكِهِينَ ٣١

Wa idhanqalabū ilā ahlihimunqalabū fakihīn

Na wanapo rudi kwa watu wao hurudi nao wamefurahi. 31

Maelezo ya chini

31 Na hao wakosefu wakirejea kwa ahali zao hurejea kwa furaha na kuona ladha kwa vile kuwakejeli Waumini.