إِنَّا نَحۡنُ نُحۡيِۦ وَنُمِيتُ وَإِلَيۡنَا ٱلۡمَصِيرُ ٤٣
Innā nahnu nuhyī wanumītu wa ilaynal-masīr
Hakika Sisi tunahuisha na tunafisha, na kwetu Sisi ndio marejeo. 43
Maelezo ya chini
43 Hakika Sisi, peke yetu, ndio tunao huisha viumbe vyote, na tunavifisha duniani. Na kwetu Sisi, peke yetu, ndio marejeo Akhera.