Surat Qaf, aya 44

50:44

يَوۡمَ تَشَقَّقُ ٱلۡأَرۡضُ عَنۡهُمۡ سِرَاعٗاۚ ذَٰلِكَ حَشۡرٌ عَلَيۡنَا يَسِيرٞ ٤٤

Yawma tashaqqaqul-ardu 'anhum sirā'an dhālika hashrun 'alaynā yasīr

Siku itapo wapasukia ardhi mbio mbio! Mkusanyo huo kwetu ni mwepesi. 44

Maelezo ya chini

44 Siku itakapo wapasukilia ardhi, na watoke humo mbio mbio wakikimbilia mkutanoni...Hilo jambo kuu la kuwakusanya wote ni dogo na jepesi kwetu.