Surat Qaf, aya 42

50:42

يَوۡمَ يَسۡمَعُونَ ٱلصَّيۡحَةَ بِٱلۡحَقِّۚ ذَٰلِكَ يَوۡمُ ٱلۡخُرُوجِ ٤٢

Yawma yasma'ūnas-sayhata bil-haqqi dhālika yawmul-khurūj

Siku watakapo sikia ukelele wa haki. Hiyo ndiyo siku ya kufufuka. 42

Maelezo ya chini

42 Siku watapo sikia mpulizo wa pili wa Haki, nao ni wa kufufuliwa watu. Hiyo ndiyo siku ya kutoka kwenye makaburi.