Surat Qaf, aya 41

50:41

وَٱسۡتَمِعۡ يَوۡمَ يُنَادِ ٱلۡمُنَادِ مِن مَّكَانٖ قَرِيبٖ ٤١

Wastami' yawma yunādil-munādi mim makānin qarīb

Na sikiliza siku atapo nadi mwenye kunadi kutoka pahala karibu. 41

Maelezo ya chini

41 Na sikiliza khabari ninazo kwambia katika hadithi za Kiyama kwani shani yake ni kubwa. Siku atapo nadi Malaika wa kunadi kutoka pahala pa karibu na hao wanao itwa.