وَمِنَ ٱلَّيۡلِ فَسَبِّحۡهُ وَأَدۡبَٰرَ ٱلسُّجُودِ ٤٠
Waminal-layli fasabbihhu wa adbāras-sujūd
Na katika usiku pia mtakase, na baada ya kusujudu. 40
Maelezo ya chini
40 Na pia mtakasishe, Msabbih, katika saa za usiku, na baada ya Swala.