وَجَعَلَهَا كَلِمَةَۢ بَاقِيَةٗ فِي عَقِبِهِۦ لَعَلَّهُمۡ يَرۡجِعُونَ ٢٨
Waja'alahā kalimata bāqiyatan fī 'aqibihī la'allahum yarji'ūn
Na akalifanya hili liwe neno lenye kubaki katika vizazi vyake ili warejee. 28
Maelezo ya chini
28 Kwa kuwatangazia hivyo, likawa hilo Neno la Tawhidi, ni neno lenye kubakia katika dhuriya zake, ili wapate kulirejelea, waliamini.