Surat Az-Zukhruf, aya 27

43:27

إِلَّا ٱلَّذِي فَطَرَنِي فَإِنَّهُۥ سَيَهۡدِينِ ٢٧

Illal-ladhī fataranī fa innahū sayahdīn

Isipo kuwa yule aliye niumba, kwani Yeye ataniongoa. 27

Maelezo ya chini

27 Lakini mimi namuabudu Mwenyezi Mungu aliye niumba; kwani ni Yeye ndiye atakaye niongoza kwendea Njia ya Haki.