وَمَا هُوَ عَلَى ٱلۡغَيۡبِ بِضَنِينٖ ٢٤
Wamā huwa 'alal-ghaybi bidanīn
Wala yeye si bakhili kwa mambo ya ghaibu. 24
Maelezo ya chini
24 Na Muhammad si bakhili wa kufikisha wahyi na kuwafunza watu.
وَمَا هُوَ عَلَى ٱلۡغَيۡبِ بِضَنِينٖ ٢٤
Wamā huwa 'alal-ghaybi bidanīn
Wala yeye si bakhili kwa mambo ya ghaibu. 24
24 Na Muhammad si bakhili wa kufikisha wahyi na kuwafunza watu.