وَمَا هُوَ بِقَوۡلِ شَيۡطَٰنٖ رَّجِيمٖ ٢٥
Wamā huwa biqawli shaytānir rajīm
Wala hii si kauli ya Shetani maluuni. 25
Maelezo ya chini
25 Wala huu wahyi (ufunuo) ulio teremshwa juu yake si kauli ya Shetani aliye fukuzwa kutoka kwenye rehema ya Mwenyezi Mungu.