Surat At-Takwir, aya 23

81:23

وَلَقَدۡ رَءَاهُ بِٱلۡأُفُقِ ٱلۡمُبِينِ ٢٣

Walaqad ra'āhu bil-ufuqil-mubīn

Na hakika yeye alimwona kwenye upeo wa macho ulio safi. 23

Maelezo ya chini

23 Na ninaapa kuwa Muhammad s.a.w. bila ya shaka alimwona Jibrili katika upeo wa macho kwa mujibu wa inavyo onekana.