Surat At-Takwir, aya 22

81:22

وَمَا صَاحِبُكُم بِمَجۡنُونٖ ٢٢

Wamā sāhibukum bimajnūn

Na wala huyu mwenzenu hana wazimu. 22

Maelezo ya chini

22 Na huyo Mtume wenu ambaye ni mwenzenu, mnaye mjua kuwa ana akili timamu, si mwendawazimu.