ذِي قُوَّةٍ عِندَ ذِي ٱلۡعَرۡشِ مَكِينٖ ٢٠
Dhī quwwatin 'inda dhil-'arshi makīn
Mwenye nguvu na mwenye cheo kwa huyo Mwenye Kiti cha Enzi, 20
Maelezo ya chini
20 Mwenye nguvu katika kutekeleza waajibu wake, mwenye cheo na daraja mbele ya Mwenyezi Mungu Mwenye Kiti cha Enzi.