إِنَّهُۥ لَقَوۡلُ رَسُولٖ كَرِيمٖ ١٩
Innahū laqawlu rasūlin karīm
Kwamba hakika bila ya shaka hii ni kauli ya Mjumbe mtukufu, 19
Maelezo ya chini
19 Hakika Qur'ani bila ya shaka ni kauli ya Mjumbe anaye toka kwa Mwenyezi Mungu, naye ni mwenye kuhishimiwa kwake,