Surat At-Takwir, aya 17

81:17

وَٱلَّيۡلِ إِذَا عَسۡعَسَ ١٧

Wallayli idhā 'as'as

Na kwa usiku unapo pungua, 17

Maelezo ya chini

17 Na kwa usiku linapo pungua giza lake wakati unapo malizika.