Surat Al-Qiyamah, aya 16

75:16

لَا تُحَرِّكۡ بِهِۦ لِسَانَكَ لِتَعۡجَلَ بِهِۦٓ ١٦

Lā tuharrik bihī lisānaka lita'jala bih

Usiutikisie huu wahyi ulimi wako kwa kuufanyia haraka. 16

Maelezo ya chini

16 Usiuharikishe ulimi wako kwa kuisoma Qur'ani na kujaribu kuihifadhi kwa haraka pale unapo teremshiwa kwa Wahyi.