Surat Al-Qiyamah, aya 17

75:17

إِنَّ عَلَيۡنَا جَمۡعَهُۥ وَقُرۡءَانَهُۥ ١٧

Inna 'alaynā jam'ahū waqur'ānah

Hakika ni juu yetu kuukusanya na kuusomesha. 17

Maelezo ya chini

17 Hakika ni juu yetu Sisi kuikusanya hiyo katika kifua chako, na kuithibitisha katika ulimi wako.