وَلَوۡ أَلۡقَىٰ مَعَاذِيرَهُۥ ١٥
Walaw alqā ma'ādhīrah
Na ingawa atatoa chungu ya udhuru. 15
Maelezo ya chini
15 Na ijapo kuwa atajitolea chungu nzima ya udhuru na akazieneza, hawezi kabisa kuepukana na hoja hizo.
وَلَوۡ أَلۡقَىٰ مَعَاذِيرَهُۥ ١٥
Walaw alqā ma'ādhīrah
Na ingawa atatoa chungu ya udhuru. 15
15 Na ijapo kuwa atajitolea chungu nzima ya udhuru na akazieneza, hawezi kabisa kuepukana na hoja hizo.