Surat Al-Qasas, aya 52

28:52

ٱلَّذِينَ ءَاتَيۡنَٰهُمُ ٱلۡكِتَٰبَ مِن قَبۡلِهِۦ هُم بِهِۦ يُؤۡمِنُونَ ٥٢

Alladhīna ātaynāhumul-kitāba min qablihī hum bihī yu'minūn

Wale tulio wapa Kitabu kabla yake wanakiamini hiki. 52

Maelezo ya chini

52 Wale ambao tuliwateremshia Taurati na Injili kabla ya kuteremka Qur'ani, na wakaviamini vitabu hivyo viwili, na wakasadiki yaliyo tajwa humo juu ya khabari za Muhammad na Kitabu chake, hao wanamuamini Muhammad na Kitabu chake.