Surat Al-Qasas, aya 51

28:51

۞ وَلَقَدۡ وَصَّلۡنَا لَهُمُ ٱلۡقَوۡلَ لَعَلَّهُمۡ يَتَذَكَّرُونَ ٥١

Walaqad wassalnā lahumul-qawla la'allahum yatadhakkarūn

Na sasa kwa yakini tumewafikishia Neno ili wapate kukumbuka. 51

Maelezo ya chini

51 Na bila ya shaka Mwenyezi Mungu amewateremshia Qur'ani kwa utungo, baadhi yake ikifuatia baadhi kwa mujibu wa inavyo takikana na hikima, na kulingana na ahadi, na maonyo, na hadithi, na mazingatio, ili wapate kupima na kuyaamini yaliomo ndani yake.