Surat Al-Qamar, aya 53

54:53

وَكُلُّ صَغِيرٖ وَكَبِيرٖ مُّسۡتَطَرٌ ٥٣

Wakullu saghīrin wakabīrim mustatar

Na kila kidogo na kikubwa kimeandikwa. 53

Maelezo ya chini

53 Na kila dogo na kubwa katika vitendo limeandikwa. Hakipotei kitu.