Surat Al-Qamar, aya 54

54:54

إِنَّ ٱلۡمُتَّقِينَ فِي جَنَّٰتٖ وَنَهَرٖ ٥٤

Innal-muttaqīna fī jannātin wanahar

Hakika wachamngu watakuwa katika Mabustani na mito. 54

Maelezo ya chini

54 Hakika wachamngu watakuwa katika Mabustani yenye shani kuu, na mito ya namna mbali mbali.