وَكُلُّ شَيۡءٖ فَعَلُوهُ فِي ٱلزُّبُرِ ٥٢
Wakullu shay'in fa'alūhu fiz-zubur
Na kila jambo walilo lifanya limo vitabuni. 52
Maelezo ya chini
52 Na kila kitu walicho kifanya duniani kimeandikwa katika madaftari, kimeambatishwa nao.