Surat Al-Qamar, aya 4

54:4

وَلَقَدۡ جَآءَهُم مِّنَ ٱلۡأَنۢبَآءِ مَا فِيهِ مُزۡدَجَرٌ ٤

Walaqad jā'ahum minal-ambā'i mā fīhi muzdajar

Na bila ya shaka zimewajia khabari zenye makaripio. 4

Maelezo ya chini

4 Na ninaapa kuwa zimewajia makafiri khabari za mataifa yaliyo tangulia zenye ukweli wa uumbaji ambazo zina mikemeo ya kutosha.