Surat Al-Qamar, aya 5

54:5

حِكۡمَةُۢ بَٰلِغَةٞۖ فَمَا تُغۡنِ ٱلنُّذُرُ ٥

Hikmatu bālighatun famā tughnin-nudhur

Hikima kaamili; lakini maonyo hayafai kitu! 5

Maelezo ya chini

5 Haya yaliyo wajia ni hikima kubwa na lengo la kufikia mbali. Lakini maonyo yataleta faida gani kwa wanao zipinga hikima hizo?