وَكَذَّبُواْ وَٱتَّبَعُوٓاْ أَهۡوَآءَهُمۡۚ وَكُلُّ أَمۡرٖ مُّسۡتَقِرّٞ ٣
Wakaddhabū wattaba'ū ahwā'ahum wakullu amrim mustaqirr
Na wamekanusha na wamefuata matamanio yao. Na kila jambo ni lenye kuthibiti. 3
Maelezo ya chini
3 Na wamewakanusha Mitume na wakafuata yaliyo zainishwa na matamanio yao. Na kila jambo huishia mwisho wake linapo tulia na kuthibiti.