وَإِذَا رَأَوۡهُمۡ قَالُوٓاْ إِنَّ هَٰٓؤُلَآءِ لَضَآلُّونَ ٣٢
Wa idhā ra'awhum qālū inna hā'ulā'i ladāllūn
Na wanapo waona husema: Hakika hawa ndio khasa walio potea. 32
Maelezo ya chini
32 Na wakiwaona Waumini husema: Ama hakika hawa wamepotea kweli kwa kumuamini Muhammad.