Surat Al-Mursalat, aya 30

77:30

ٱنطَلِقُوٓاْ إِلَىٰ ظِلّٖ ذِي ثَلَٰثِ شُعَبٖ ٣٠

Intaliqū ilā zillin dhī thalāthi shu'ab

Nendeni kwenye kivuli chenye mapande matatu! 30

Maelezo ya chini

30 Nendeni kwenye joto la moshi wa Jahannamu ulio gawika kwa ukubwa wake mapande matatu.