لَّا ظَلِيلٖ وَلَا يُغۡنِي مِنَ ٱللَّهَبِ ٣١
Llā zalīlin walā yughnī minal-lahab
Hakikingi moto, wala hakiwaepushi na mwako. 31
Maelezo ya chini
31 Hapana cha kujikinga na joto la siku hiyo, wala kivuli hicho hakipunguzi joto la mwako hata kidogo.