ٱنطَلِقُوٓاْ إِلَىٰ مَا كُنتُم بِهِۦ تُكَذِّبُونَ ٢٩
Intaliqū ilā mā kuntum bihī tukaddhibūn
Nendeni kwenye adhabu mliyo kuwa mkiikanusha! 29
Maelezo ya chini
29 Siku ya kupambanua wataambiwa makafiri: Nendeni huko Motoni mliko kuwa mkikukanusha.