Surat Al-Mursalat, aya 1

77:1

وَٱلۡمُرۡسَلَٰتِ عُرۡفٗا ١

Wal-mursalāti 'urfā

Naapa kwa zinazo tumwa kwa upole! 1

Maelezo ya chini

1 Naapa kwa Aya zilizo tumwa kwa ulimi wa Jibrili kumpelekea Muhammad kwa upole wa kawaida na kheri,