Surat Al-Mursalat, aya 2

77:2

فَٱلۡعَٰصِفَٰتِ عَصۡفٗا ٢

Fal-'āsifāti 'asfā

Na zinazo vuma kwa kasi! 2

Maelezo ya chini

2 Na kwa Aya zenye kuzitwaa kwa nguvu dini nyengine zote za uwongo zikizipeperushia mbali,