Surat Al-Inshiqaq, aya 4

84:4

وَأَلۡقَتۡ مَا فِيهَا وَتَخَلَّتۡ ٤

Wa alqat mā fīhā watakhallat

Na kuvitoa vilivyo kuwa ndani yake, ikawa tupu! 4

Maelezo ya chini

4 Na ardhi ikatoa nje maiti na khazina ziliyo kuwamo ndani yake, na ikaachana navyo vyote hivyo,