Surat Al-Inshiqaq, aya 3

84:3

وَإِذَا ٱلۡأَرۡضُ مُدَّتۡ ٣

Wa idhal-ardu muddat

Na ardhi itakapo tanuliwa! 3

Maelezo ya chini

3 Na ardhi ikazidi upana wake kwa kulazwa milima na kuondolewa kifusi chake,