Surat Al-Balad, aya 18

90:18

أُوْلَٰٓئِكَ أَصۡحَٰبُ ٱلۡمَيۡمَنَةِ ١٨

Ulā'ika ashābul-maymanah

Hao ndio watu wa kheri wa kuliani. 18

Maelezo ya chini

18 Hao wanao sifika kwa sifa hizi, ndio watu wa kheri, wa mkono wa kulia.