وَٱلَّذِينَ كَفَرُواْ بِـَٔايَٰتِنَا هُمۡ أَصۡحَٰبُ ٱلۡمَشۡـَٔمَةِ ١٩
Walladhīna kafarū bi'āyātinā hum ashābul-mash'amah
Lakini walio zikataa Ishara zetu, hao ndio watu wa shari wa kushotoni. 19
Maelezo ya chini
19 Na walio zikataa dalili tulizo zisimamisha kuthibitisha Haki kutoka na Kitabu na hoja zake, hao ndio wapotovu watu waovu walio kosa kheri na watapata adhabu.