ثُمَّ كَانَ مِنَ ٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ وَتَوَاصَوۡاْ بِٱلصَّبۡرِ وَتَوَاصَوۡاْ بِٱلۡمَرۡحَمَةِ ١٧
Thumma kāna minal-ladhīna āmanū watawāsaw bis-sabri watawāsaw bil-marhamah
Tena awe miongoni mwa walio amini na wakausiana kusubiri na wakausiana kuhurumiana. 17
Maelezo ya chini
17 Tena awe pamoja na hayo miongoni mwa wenye Imani wanao usiana na wenzao kwa subira na kuoneana huruma.