Surat Al-A'la, aya 19

87:19

صُحُفِ إِبۡرَٰهِيمَ وَمُوسَىٰ ١٩

Suhufi ibrāhīma wamūsā

Vitabu vya Ibrahimu na Musa. 19

Maelezo ya chini

19 Vitabu vya Ibrahimu na Musa; kwani haya yamewafikiana na mafunzo ya dini zote na yamesajiliwa katika Vitabu vya mbinguni.