Surat Al-A'la, aya 18

87:18

إِنَّ هَٰذَا لَفِي ٱلصُّحُفِ ٱلۡأُولَىٰ ١٨

Inna hādhā lafis-suhufil-ūlā

Hakika haya yamo katika Vitabu vya mwanzo, 18

Maelezo ya chini

18 Hakika haya yote yaliyo tajwa katika Sura hii bila ya shaka yamethibitishwa katika Vitabu vya zamani,