وَذَكَرَ ٱسۡمَ رَبِّهِۦ فَصَلَّىٰ ١٥
Wadhakarasma rabbihī fasallā
Na akakumbuka jina la Mola wake Mlezi, na akaswali. 15
Maelezo ya chini
15 Na akalikumbuka jina la Muumba wake kwa moyo wake na ulimi wake, na akaswali kwa unyenyekevu kama itakikanavyo.