Surat Al-A'la, aya 16

87:16

بَلۡ تُؤۡثِرُونَ ٱلۡحَيَوٰةَ ٱلدُّنۡيَا ١٦

Bal tu'thirūnal-hayawātad-dunyā

Lakini nyinyi mnakhiari maisha ya dunia! 16

Maelezo ya chini

16 Bali nyinyi hamfanyi hayo yanayo pelekea kufanikiwa, lakini katika hima zenu mnatanguliza maisha ya duniani kuliko ya Akhera.