Surat Al-A'la, aya 14

87:14

قَدۡ أَفۡلَحَ مَن تَزَكَّىٰ ١٤

Qad aflaha man tazakkā

Hakika amekwisha fanikiwa aliye jitakasa. 14

Maelezo ya chini

14 Hakika amefuzu mwenye kujisafisha na ukafiri na maasi.