ثُمَّ لَا يَمُوتُ فِيهَا وَلَا يَحۡيَىٰ ١٣
Thumma lā yamūtu fīhā walā yahyā
Tena humo hatakufa wala hawi hai. 13
Maelezo ya chini
13 Tena hatokufa huko Motoni akapumzika kwa kifo, wala hawi hai kwa uhai wa kustarehe nao.