Surat Al-'Adiyat, aya 7

100:7

وَإِنَّهُۥ عَلَىٰ ذَٰلِكَ لَشَهِيدٞ ٧

Wa innahū 'alā dhālika lashahīd

Na hakika yeye mwenyewe bila ya shaka ni shahidi wa hayo! 7

Maelezo ya chini

7 Na hakika yeye mwenyewe bila ya shaka atakuwa mwingi wa kuja jishuhudia huko Akhera kwa kuungama madhambi yake.