وَإِنَّهُۥ لِحُبِّ ٱلۡخَيۡرِ لَشَدِيدٌ ٨
Wa innahū lihubbil-khayri lashadīd
Naye hakika bila ya shaka ana nguvu za kupenda mali! 8
Maelezo ya chini
8 Na hakika yeye kwa uchoyo na kuyapenda mali alio nayo, ni bakhili, hatoi kama inavyo mwajibikia katika mali yake.