Surat Al-'Adiyat, aya 6

100:6

إِنَّ ٱلۡإِنسَٰنَ لِرَبِّهِۦ لَكَنُودٞ ٦

Innal-insāna lirabbihī lakanūd

Hakika mwanaadamu ni mtovu wa fadhila kwa Mola wake Mlezi! 6

Maelezo ya chini

6 Hakika mwanaadamu ni mwingi wa kuzikufuru neema za Mola wake Mlezi ambazo hazikadiriki.